Kuna hii app ya mikopo ya online, inayoitwa Swift Fund, hawa ni wezi kabisa.. Unakopa, wakati wa kulipa wanakutumia link, unalipa, na Deni lako linaendelea kuwepo, hakuna kinachobadilika!
Unamaliza deni, wa naendelea kukusumbua kila siku, na kila siku anakupigia mtu mpya, wanakuchafua kwa...