Wakuu pamoja na wataalamu wa Mambo,bill kusahau ma-operator wa JF.Nimeshindwa kabisa kusoma jumbe kwenye PM maana haifunguki zaidi ya kuni-direct nifungue messenger na baadaye inaandika "connecting" muda wote.Nimejaribu kuinstall app upya au kutumia browser tofauti lakini hakuna mafanikio.
Kuna...