zake

Zakes Makgona Mokae (5 August 1934 – 11 September 2009) was a South African-American actor of theatre and film.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Chakra zilizo wazi: dalili zake

    CHAKRA ZILIZO WAZI: DALILI ZAKE 1. Root Chakra (Muladhara) Ikiwa unahisi kuwa: Una maisha yenye msingi mzuri, salama na usalama wa kimwili na kifedha Unahisi kuwa na uhusiano wa karibu na dunia, mazingira na mwili wako Una nguvu, uthabiti na huogopi kesho Basi Root chakra yako iko wazi...
  2. JamiiForums Tanzania Martha Karua aruhusiwe kuingia na aendelee na harakati zake, kuzuia ni doa Afrika Mashariki

    Ombi langu mamlaka zimruhusu aingie aendelee na shughuli zake, afrika ya mashariki ni moja, hasa Tanzania, Kenya na Uganda, issue ndogo ndogo za kila lissu na wanaharakati wengine zisitukwaze tukaja haribu sifa ya taifa letu, as I spoke mimi CCM damu, lakini hili liachwe liendelee, na waendelee...
  3. JamiiForums Tanzania Kwanini Rais Samia hakugusia utekaji kwenye hotuba yake ya funga mwaka au ni yale yale kuwa kutekwa, kuuawa na kupotezwa si tatizo?

    Kwanza, namshukuru mheshimiwa rais, Samia Suluhu Hassan. Pili, sijui watanzania wanachukuliaje hotuba yake ambayo haikugusia utekaji na mauaji vinavyoendelea? Kweli ameanza na tumeanza mwaka kinamna bila tumaini wala mipango ya kuondokana na kadhia ya utekaji ulioanza kuzoeleka nchini. Pia...
  4. JamiiForums Tanzania Huenda Azam anaweza kabisa ku dominate ligi yetu ila anahofia kuharibu biashara zake

    Naangalia hapa mechi ya Azam na Dodoma inaonekana Azam anajua "kucheza"na kupata ushindi mnono ila anahofia endapo atacheza kama Simba na Yanga ataharibu biashara yake ambapo watu hawataona sababu ya kununua ving'amuzi vyake Itakumbukwa kuwa ligi kuu (Simba na Yanga ) ndio bidhaa kubwa zaidi...
  5. JamiiForums Tanzania Huyu Demu aliyesababisha kaka zake wanigonge Makonzi akawa anacheka

    Heeeeeeh....binadamu hukutana milima haikutani. Huyu demu wakati mi nasoma kidato cha 3 nlikuwa nampenda sana.yeye alikuwa kidato cha 4. Basi ikawa alitoka shule mi nasimama getini jioni anarudi home kwao. Alikuwa demu mkali sana mpaka namwogopa. Nlikuwa namtizama mpaka napigwa ganzi. Yaani...
  6. JamiiForums Tanzania Mzee Msuya aliwatumikia watanzania kwa nguvu, uwezo na akili zake zote - Mobhare Matinyi Balozi wa Tanzania Nchini Sweden

    Mzee Msuya aliwatumikia watanzania kwa nguvu, uwezo na akili zake zote - Mobhare Matinyi Balozi wa Tanzania Nchini Sweden.
  7. JamiiForums Tanzania Ufugaji Wa Kuku Wa Mayai ni UTAJIRI🤷🏿‍♂️ Ila Hizi ndio Changamoto Zake

    https://youtu.be/EA1vMZRRktQ?si=Cb1kvCI2ybwJO36n KUTOKA MWANZA: Safari ya Mabadiliko kwa Mfugaji wa Kuku wa Mayai! 📍 Mwanza | 🐔 Mashamba Mawili | 💡 Ushauri wa Kitaalamu Juzi tulipata nafasi ya kipekee kutembelea mfugaji mwenye mashamba mawili ya kuku wa mayai. Licha ya jitihada kubwa na maono...
  8. JamiiForums Tanzania MOI yanadi huduma zake za Kibobezi katika Wiki ya Afya Zanzibar

    Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) inashiriki maonesho ya Wiki ya Afya Zanzibar yaliyoanza Mei 4,na yatafikia tamati Mei 10, 2025 katika Hoteli ya Golden Tulip, Zanzibar. Akizungumza katika maonesho hayo leo Mei 5, 2025 Meneja Uhusiano wa MOI, Bw. Patrick Mvungi amesema...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mada maalumu ya magari, ufundi, garage, spareparts na kufahamu aina ya magari na huduma zake

    Habari za leo wadau wa JamiiForums! Kama unamiliki gari na unahitaji huduma bora, salama na za kuaminika, basi JERRY SPARE PARTS AND SERVICES ni sehemu sahihi kwako. Tunajivunia kutoa huduma bora zinazojumuisha uuzaji wa spea parts za magari, matengenezo ya magari katika garage yetu ya kisasa...
  10. JamiiForums Tanzania TFF na kamati zake zote Kwa maksudi zimeamua kuhujumu Yanga

    Rais wa TFF, Wallace Karia ni mwanachama wa Simba Amekuwa dictator hapo TFF anatumika na timu ya Simba kuhujumu Yanga Kwa maksudi kabisa akishirikiana na 5imba kukimbia mechi kwakuwa 5imba alikuwa na wachezaji wengi majeruhi Yani Kwa uhuni huu Wallace Karia akahairisha mechi na kuitafutia...
  11. JamiiForums Tanzania Manara kuwavua nguo mabosi zake kusema wamechonga shepu ni kuwadhalilisha

    Unajua manara ana hii tabia ya kuchonganisha watu pia ana tabia ya kuwapondea watu anapokuwa amezungukwa na watu, alishawai kumzungumzia vibaya Hersi ambaye ni Rais wa Yanga. Pia safari hii amewaponda sana Mabosi zake ambao ni GSM na Salaah na Wake zao. https://youtu.be/j_9LbO4AGaA
  12. JamiiForums Tanzania Nimefanya mapenzi na mwanamke aliye siku zake. Je, kuna madhara?

    Yaani dushe Lina rangi nyekundu ipi madhara yake? nisaidien wakuu Nimefanya mapenzi na mwanamke aliye siku zak. Je kuna madhara
  13. JamiiForums Tanzania Atembea umbali wa kilomita 850 kwenda kumpiga mteja aliyetoa maneno ya kejeli mtandaoni

    China bhana kila kitu kinawezekana!! Umeshawahi kuwaza siku utembee umbali mrefu kwenda kumtafutia mteja aliyetukana bidhaa zako na kumpiga. Kuna jamaa mmoja ambaye ni muuzaji wa bidhaa mbalimbali kupitia online Aliweza kutembea umbali wa kilomita 850km ili kumfuata mteja ambaye alitoa maneno...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mbu huponzwa na kelele zake akiwa mawindoni, jitafakari yawezekana una tabia za mbu

    Ukiwa kwenye usingizi usio fofofo si rahisi kutomsikia mbu akinyemelea damu kwako na haraka utachukua maamuzi ya kumdhuru au kumkwepa na hivyo kusitisha LENGO LAKE. Ipo hivyo kwa binaadamu pia kuna ambao wana tabia za Mbu kupiga kelele nyingi kabla ya safari na mwishoni kuzuiwa. Unataka kurudi...
  15. JamiiForums Tanzania Trump alalamika namna China inavyochafua bahari kwa taka zake za viwandani.

  16. JamiiForums Tanzania Janabi hana Exposure wala Experience yoyote ya kimataifa ya kudeal na Afya , ukiachana na nadharia zake za kutoa miongozo katika ulaji hana sifa .

    Janabi hana Exposure wala Experience yoyote ya kimataifa ya kudeal na Afya , ukiachana na nadharia zake za kutoa miongozo katika ulaji hana sifa .
  17. JamiiForums Tanzania Kila mtu ana upekee kwenye alama zake za vidole

    Alama za vidole ni za kipekee sana kutokana na mchanganyiko wa sababu za kijenetiki na matukio ya nasibu wakati ukikua kama kijusi tumboni kwa mama yako na hivyo kusababisha kutofautiana kwa mifumo ya matuta na mistari kwenye ncha za vidole. Tofauti hizi, ikiwa ni pamoja na umbo, saizi...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Katibu Kata CCM Nyalikungu wilaya ya Maswa aache tabia zake za kuwatukana viongozi wenzake wa kike.

    Tabia ya Katibu Kata wa CCM Kata ya Nyalikungu,wilaya ya Maswa,Charles Kahema anatakiwa ashughulikiwe na uongozi wa CCM wilaya kwa tabia zake za kuwatukana matusi na kuwadhalilisha viongozi wenzake wa Kata hasa wa jinsi ya kike. Aprili 14,2025 alifikishwa katika kituo cha polisi wilaya ya Maswa...
  19. JamiiForums Tanzania He! Kumbe Quran nayo ilipangwa vitabu, Machapisho na Ayyah zake na binadamu kama ilivyo kwa Biblia

    Shalom, Salam alaikum. Baada ya kusoma Biblia kuanzia Genesis Hadi Revelation nikaamua kuanza kusoma pia Quran (Mwaka huu). Ila Huwa napenda kufahamu chanzo, uandishi Hadi uwasilishaji wa kitabu kabla ya kuanza kukisoma kitabu hicho (Napima uzito). Na Hiki ndicho nilichogundua kwa upande wa...
  20. JamiiForums Tanzania Feedback kutoka kwenye ule uzi wa OKX na give away zake

    Habari wana JF hope mnajiandaa vyema kabisa na pasaka wiki hii Wiki kadhaa zilizopita nilishare thread humu iliyokuwa inahusu blockchain and cyptocurrency especially kwenye kipengele cha crypto exchanges. Kwenye huo uzi nilielezea kuhusu zawadi au Give away zilizokuwa zinatolewa na exchange ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…