Hapana.watu wamejaa hadi uwanja wamefunga japo naona wameruhusu watu kuingia.tangu saa 10 asubuh watu walikuwa uwanjani.Niko Rock city mail nafauatilia mubiasharaUko uwanjani!?
Ajabu sanaMaadhimisho yamegeuka ya KUSIFIA rais.
Dhana ya wewe ukisusa wengine wala huku maisha yakiendelea kama kawaida imeanza kuwaingia baadhi ya wanasiasa!
Ni sawa na mtoto ambaye kama hujamtimizia baadhi ya maombi yake hususa kula chakula ulichompikia akitegemea utambembeleza lakini ukimpuuza baadaye anaanza tena kukuomba chakula akidai ana njaa!
Niwapongeze wale wanasiasa ambao wamefanya self assessment na kugundua kuwa kususa kwao kwenye sherehe za kitaifa hakuna impact yoyote ya kisiasa kwa taifa na kwa sababu hiyo wameamua kubadili msimamo!
Kwa hiyo na wao wameungana na Sheikh wa mkoa wa Dar?Bila shaka hawa ndio wale elfu moja waliosema watamroga mtu yeyote atakayetaka kushindana na Magufuli.
Nani Huyo ameigopwa?Sasa mengine yote tuache tumsikilize rais wa JMT na Amiri Jeshi Mkuu wetu Dr. John Pombe Joseph Magufuli akihutubia, japo katika utambulisho, kuna mtu ameogopwa hadi amekwepwa!.
P
Usinitafutie kesi kuwa Amiri Jeshi Mkuu wetu anamuogopa mtu fulani nikamponza bure huyo mtu!.Nani Huyo ameigopwa?
Unamfahamu ? Nataka anifundishe kuimbaHaahaahaa...
Mke wa Mtu huyo .
Kuna jambo ndani yako ila umelileta kipuuziNaona wapinzani akili inaanza kuwaingia na ule moyo wa kupinga pinga kila kitu umeanza kuwatoka.
Kwa hili nawapongeza sana . kitendo cha Mbowe kuhudhuria sherehe za Leo ni hakika akili imemrudia.
Magufuli ana uwezo kumfunza mpinzani wake kwa vitendo.
Najua wapo wapuuzi wachavhe watapinga lkn hamkatazwi pingine tu lakini ukweli Mbowe amenyooshwa.
MboweSasa mengine yote tuache tumsikilize rais wa JMT na Amiri Jeshi Mkuu wetu Dr. John Pombe Joseph Magufuli akihutubia, japo katika utambulisho, kuna mtu ameogopwa hadi amekwepwa!.
P
Hata lema yupo. Kizuri hawajavaa magwanda. Ni shughuli ya kitaifa. Nashangaa marangi ya njano na kijani ya nini.Naona wapinzani akili inaanza kuwaingia na ule moyo wa kupinga pinga kila kitu umeanza kuwatoka.
Kwa hili nawapongeza sana . kitendo cha Mbowe kuhudhuria sherehe za Leo ni hakika akili imemrudia.
Magufuli ana uwezo kumfunza mpinzani wake kwa vitendo.
Najua wapo wapuuzi wachavhe watapinga lkn hamkatazwi pingine tu lakini ukweli Mbowe amenyooshwa.
Usinikumbushe yale mazoezi ya makomando nimecheka mpaka kichwa kinauma. Hasa yale ya uokoaji wa haraka,kushuka na kamba tu wametumia dakika 5! 😂😂
Sawa mkuu.ujumbe umefika.lete update maana uko kwenye location nzuri.Usinitafutie kesi kuwa Amiri Jeshi Mkuu wetu anamuogopa mtu!.
Please!.
P
Inaelekea hata wewe ni mchawi. Unawezaje kuangalia tv na ku conclude kwamba hawa ni wachawi? Hayo mavazi ni jadi, ni mavazi wanayovaa wapiganaji wa kijadi waendapo vitani. Hizo ni mbinu za kumtisha adui.
Au umezaliwa miaka ya tisini nini. Ndio maana tunawafundisha hayo mjue. Ulitaka waje na suti kama mchungaji wako kanisani???
Wamevaa gwanda lakini si kitendo kibaya kuhudhuria jambo la kitaifaHata lema yupo. Kizuri hawajavaa magwanda. Ni shughuli ya kitaifa. Nashangaa marangi ya njano na kijani ya nini.
Sungusungu,,wako mahali pengi tz,,kwa kanda ya ziwa hasa kwa wasukuma mavazi hayo na namna wanavoonekana ni hivo hivo,,yaani pana mfananio kwa maeneo mengi na viongozi wengi wa makundi haya ni wazee wa mila,,na kiasili sungusungu ni kama morani kwa wenzetu wamasai,,uchawi inaweza kuwa sehemu yaoNaangalia maadhimisho ya sherehe ya miaka 58 ya Uhuru, Kuna kikundi cha sungusungu kwa kweli wamevaa kichawi kabisa na matendo yao hata hayaeleweki.
Bila shaka hawa ndio wale elfu moja waliosema watamroga mtu yeyote atakayetaka kushindana na Magufuli.