09 Dec, 2019: Maadhimisho ya miaka 58 ya uhuru wa Tanganyika. Wafungwa 5,533 wapata msamaha wa Rais. Mbowe ataka maridhiano ya Kitaifa

Nimekuelewa sana ndugu
 
Oooh, kumbe ,umenielewesha
 

Eti 'strict observation ya EU & US'....Who told you that?? Na kwanini kuwe na strict observation from outside?? Je, sisi tunaweza kufanya strict observation ya uchaguzi ndani ya EU countries na US?? Kwanini baadhi yenu bado mna mawazo ya kitumwa? Ours is a sovereign country as is the case to US and European countries. Uchaguzi wa 2020 ni uchaguizi wetu and we don't need their money...Kama watakuja kuangalia uchaguzi wetu na waje lakini hatutaki masharti..Umesikia wewe M-mbabe...ukitaka nenda ukamtembelee Pence, na akiwasifia kuwa 'uko nadhifu' unaona ni sifa...Ina maana sisi hatuwezi kuwa nadhifu?? .
 
AIC Makongoro mmenikwaza, kwanini mnazungusha bodi na kukatika nanyi ni watu wa ibada sana
 
Yani mpk sasa kwaya imeimba vizuri sana na ngoma ya kihaya pia imependezesha sana.
 
uuh punguza jazba!

hivi deni la taifa limefika bei gani vile?!
 
Waganga wale hkn sungu sungu pale ,nadhani kuna tambiko baadae ,Hahahaha

BTW ,hizo lile zoezi la utekaji ndio linakuaga slow vile? au kwakua ike ni demo
Hahah hapo kwny waganga kama kuna ukweli hivi mzee baba.

Aisee hilo zoezi ndo lilikua limeanza tu tanesco wakafanya yao wanakuja kurudisha naona Gari la zimamoto liko uwanjani mkuu.
 
Hivi wale jamaa wenye tshirt nyeusi na bunduki nzito mkononi kwa ule urefu ule ni wenzetu kweli?
Bila shaka wewe ni mluguru, hivi umeshafika Mara, moshi na Mwanza huko ndo kuna watanganyika wenye miili mikubwa.
 
Namuona Mbowe yuko sambamba na Lipumba na Katibu mkuu wa ccm katika meza moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…