09 Dec, 2019: Maadhimisho ya miaka 58 ya uhuru wa Tanganyika. Wafungwa 5,533 wapata msamaha wa Rais. Mbowe ataka maridhiano ya Kitaifa

mwenyewe nilijiuliza sungusungu gani hao kumbe fikra hizi sikuwanazo peke yangu
 
Hahaha leo ni siku ya Uhuru Mkuu
Hii Chadema ya kina Nyalandu ya kwenda kuomba poo CCM Kirumba walah sijakubaliana nayo! Sasa naanza kuiona Chadema ya kina Lyatonga na Lipumba. Watani wa jadi tangu lini wakacheza mechi ya kirafiki?
 
Dar hamjui sungusungu ni nini...sisi wa tabora ni watu w sungusungu. Sungusungu huvaa hivyo.
 
Jambo jema Sana Leo wapinzani kuhudhulia hakika nafikili hiyo ndo Maana halisi ya kula na kipofu.

Na hiyo isiishie hapo waende mbali zaidi wawapo na mikutano ambayo sio ya Siri ya chama Basi wawaalike hao hao viongozi wa kitaifa na maafisa usalama wa nchi,wakuu wa polisi Kama itifaki inaruhusu,wakuu wa mikoa,madc n k.

Hiyo itawaongezea uaminifu kwamba lengo Lao sio baya Bali ni katika kulisongesha gurudumu la maendeleo ya taifa tofauti na imani potofu za watu wachache wenye mitazamo hasi kuhusu upinzani.

Lazima wabadilike na wabadilike aina ya siasa wanazofanya ili ziwe na tija kwa wananchi na nchi kwa ujumla kuliko Sasa ambapo zimejikita zaidi kiharakati ukili ganisha na chama kinacholenga kushika dola.

Mi nafikili kiongozi mkuu wa upinzani ni mtu mzito Sana hivyo alipaswa apewe heshima ya namna yake Kama viongozi wengine wa kitaifa Kama busara zaidi zingetumika.

Wakae chini watafakari upya wapi waliteleza kwa sababu chama kimeporomoka kwa kasi ya ajabu,wanachama wamehamia chama tawala hiyo inaonyesha namna gani wamepoteza Imani na chama tofauti na walichotegemea kipindi wanajiunga.
 
Usinikumbushe yale mazoezi ya makomando nimecheka mpaka kichwa kinauma. Hasa yale ya uokoaji wa haraka,kushuka na kamba tu wametumia dakika 5! 😂😂
Hawatakagi ku-chalenjiwa,wanataka kuogopwa nakusifiwa kua ni hatari Afrika na dunia nzima.
 
Ni usukuma unamsumbua. Kwa technology ya leo, na uchanga wetu katika technology ya ulinzi, bunduki za hao askali hazisaidii, why all these troubles? It is a matter of remote controlled bombs!
Nini kazi ya jammer?
 
hahahahaha ujue mzee kawapa heshima yao kwa kusimama means anatambua uwepo wao
Wazee wap kazin haiwezi nyesha
Vile vitakua ni vichawi halafu mpaka sasa vimo uwanjani na mvua imeyeyuka kirumba lakini sehemu zngne inanyesha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sasa mengine yote tuache tumsikilize rais wa JMT na Amiri Jeshi Mkuu wetu Dr. John Pombe Joseph Magufuli akihutubia, japo katika utambulisho, kuna mtu ameogopwa hadi amekwepwa!.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…