Waingereza wanajua sana utawala na administration. Wakati wa utawala Waingereza, mameneja wa mashamba ya katani wengi walikua ni Waingereza waliofanya kazi katika mashamba Mexico na walielewa vizuri kilimo cha mkonge...serikali ya awamu ya kwanza ilitaifisha mashamba ya mkonge toka kwa watu binafsi na kuyafanya mali ya umma.
..Baada ya hapo mashamba hayo yakawa yanaendeshwa na watumishi wa umma / serikali ambao walikuwa hawana uelewa kuhusu sekta ya mkonge.
..matokeo yake uzalishaji mashambani ukapungua, na mashine ktk viwanda vya mkonge zikaharibika.
Kwanini Nyerere alingo'a reli ya kusini?
Kwanini aliunga mkono waasi wa Nigeria against OAU?
Kuzungumza ukweli ndani ya jamii iliyozea kuishi kwa wongo na ulaghai ni sawa na kutupa lulu kwa nguruwe.
Suala siyo tu kuzungumza, bali kufanya mjadala ambao unaweza kujenga na kulibadilisha vema taifa letu.
Kama watanzania tungekuwa ni watu wa kupenda ukweli basi tungekuwa tumeshabadilika zamani sana.
Waingereza wanajua sana utawala na administration. Wakati wa utawala Waingereza, mameneja wa mashamba ya katani wengi walikua ni Waingereza waliofanya kazi katika mashamba Mexico na walielewa vizuri kilimo cha mkonge.
Mashamba ya chai ma bwana shamba walikua kutoka Burma sikuhizi inaitwa Myanmar, hawa watu wakiielewa chai vizuri kama mimi ninavyouelwea mchunga.
Tatizo Hao walimu walioliongoza taifa Tokea mwanzo walikuwa wakifundisha uongo
JokaKuu kilimo cha karanga kilifanikiwa sana Dodoma, baada ya WWII Uingereza ilikumbwa na recession na makoloni yaliwajibika kuikomboa nchi mama. Hapa madini yetu yalichotwa sana na kwa sana.
Karanga ilileta mafanikio makubwa na ziliokwa na kufingwa kwenye foil na lable ya groundnuts from British East Africa. Ziliuzwa sana hasa katika makoloni ya Uingereza kuanzia Zambia, Malawi mpaka Australia na Canada.
..Waznz mnatakiwa muunganishe nguvu zenu na Watanganyika ili tupate ukombozi wa kweli.
..Nayaona makosa yaliyofanyika wakati wa Maalim Seif na CUF yakijirudia kwa ACT.
..Labda inahitajika a THIRD FORCE itakayotutoa ktk mkwamo baina ya CCM na ACT.
..Jambo lingine viongozi wa Kizanzibari wakifika huku Tanganyika wananogewa na MALI wanazochuma na kusahau shida za nchi yao / Zanzibar.
Viongozi wa CCM wa Zanzibar wengi ni Wazanzibara walioletwa kutoka Tanganyika.
Tatizo liko bara kwani mkiambiwa tuandamane hatoki mtu kwa woga. Akitangaza Kamanda Sirro kuwa anataka kufanya usafi wa mazingira pamoja Na gengi lake nyote mnajifungia vyooni
Hii hoja ni hatari sana. CUF walisema wote wenye nywele za kipili pili walitoka Bara.Viongozi wa CCM wa Zanzibar wengi ni Wazanzibara walioletwa kutoka Tanganyika.
Kwanini unafeli mtihani rahisi hivi?Kwani kuuwa watu kwa maelfu, kunajisi mpaka maiti, kupora mali ni halali kwa mujibu wa dini gani?
Hivi lipi umeliona ni tusi hapo ?
Lete ushahidi wa Nani alisema maneno hayo ?Hii hoja ni hatari sana. CUF walisema wote wenye nywele za kipili pili walitoka Bara.
Kwamba usipounga mkono CUF ya Maalim wewe ni Mtanganyika
Jibu walilopewa lilikuwa hili '' Zanzibar ni ya Wazinzibar , Machotara rudini kwenu''
Wewe unayepasi niambie kuuwa watu kwa maelfu kunajisi ,kupora ni halali kwa dini ipi?Kwanini unafeli mtihani rahisi hivi?
Swali ni hili '' Je mapinduzi ni Halali au ni Haramu'?
Ni kweli kabisa na pia wengi ni watapia mlo Kama wale akina mdee Na wenzake..ni kwasababu kazi ya kuelimisha wananchi kuhusu HAKI zao haijafanyika sawasawa huku Tanganyika kama ilivyofanyika Zanzibar.
Kwenye Ukristo ni halali?Kwanini unafeli mtihani rahisi hivi?
Swali ni hili '' Je mapinduzi ni Halali au ni Haramu'?
Kwenye Ukristo ni halali
Sikumuuliza kwa nia mbaya nilitaka nipate kumuonyesha Tu kuwa hilo jambo halikubaliki kwa dini zote Si uislamu Na Ukristo Tu hata dini nyengine Kama ubuda Na uhindu nk..Ndugu yangu jitahidini msiingize Ukristo vs Uislamu.
..CCM wanapotubamiza hawaangalii dini ya mtu.
..Mimi naendelea kusisitiza kwamba bila CCM kutikiswa huku Tanganyika, Zanzibar haiwezi kuomboleza.
OK nadhani ulikuwa hujazaliwa CCM walipoandamana na mabango!Lete ushahidi wa Nani alisema maneno hayo ?
Ni hivi, ukristo au Uislam havihusiani na mapinduzi.Kwenye Ukristo ni halali?
Sijui ninachokuuliza ni rahisi, ikiwa '' Nyerere anatuhumiwa kuleta mapinduzi'' je, mapinduzi ya Zanzibar ni HALALI au ni HARAMU?Wewe unayepasi niambie kuuwa watu kwa maelfu kunajisi ,kupora ni halali kwa dini ipi?