1963: Rais wa Jamhuri ya Tanganyika, Julius Nyerere akiweka pini katika koti la Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Bw. U Thant

1963: Rais wa Jamhuri ya Tanganyika, Julius Nyerere akiweka pini katika koti la Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Bw. U Thant

..serikali ya awamu ya kwanza ilitaifisha mashamba ya mkonge toka kwa watu binafsi na kuyafanya mali ya umma.

..Baada ya hapo mashamba hayo yakawa yanaendeshwa na watumishi wa umma / serikali ambao walikuwa hawana uelewa kuhusu sekta ya mkonge.

..matokeo yake uzalishaji mashambani ukapungua, na mashine ktk viwanda vya mkonge zikaharibika.
Waingereza wanajua sana utawala na administration. Wakati wa utawala Waingereza, mameneja wa mashamba ya katani wengi walikua ni Waingereza waliofanya kazi katika mashamba Mexico na walielewa vizuri kilimo cha mkonge.

Mashamba ya chai ma bwana shamba walikua kutoka Burma sikuhizi inaitwa Myanmar, hawa watu waliielewa chai vizuri kama mimi ninavyouelwea mchunga.
 
Kwanini Nyerere alingo'a reli ya kusini?

Kwanini aliunga mkono waasi wa Nigeria against OAU?

1. Reli ya Mtwara -- Nachingwea ilijengwa kwa ajili ya mradi wa kilimo cha Karanga wa serikali ya Uingereza. Baada ya mradi huo kufeli reli nayo ikafa na wahusika wakashawishika kuing'oa.

2. OAU na sasa AU wana mila / utamaduni mbaya wa kufumbia macho ukatili na unyama wa watawala wa Kiafrika.

Serikali kuu ya Nigeria ilishindwa kulinda usalama wa wananchi wa Biafra waliokuwa wakiuawa na ndugu zao haswa toka kaskazini ya Nigeria. Juhudi za kutafuta amani na kuitaka serikali kuu ya Nigeria iwahakikishie wananchi wa Biafra usalama wao ziligonga mwamba.

Katika mazingira hayo serikali ya Tanzania iliamua kuunga mkono maamuzi ya wananchi wa Biafra kujitenga.

NB:

Suala la Biafra limeishajadiliwa JF mara nyingi. Uamuzi wa Tanzania kuitambua Biafra haujawahi kupingwa kwa hoja zenye ushawishi zaidi ya kurudiarudia hoja ya " msimamo wa OAU. "

Lakini pia muuliza swali anaweza kuwa ame-set mtego, kwamba kwanini Nyerere alitetea Biafra hakutetea Wazanzibari.🤣

Jibu ni kwamba Mwalimu alikosea kufumbia macho unyama wa serikali ya Mapinduzi.

Lakini OAU pia ilikuwa na wajibu wa kukemea na kulaani mauaji na unyama wa serikali iliyokuwa ikiongozwa na Sheikh Abedi Karume.
 
Kuzungumza ukweli ndani ya jamii iliyozea kuishi kwa wongo na ulaghai ni sawa na kutupa lulu kwa nguruwe.
Suala siyo tu kuzungumza, bali kufanya mjadala ambao unaweza kujenga na kulibadilisha vema taifa letu.
Kama watanzania tungekuwa ni watu wa kupenda ukweli basi tungekuwa tumeshabadilika zamani sana.

Katika hiyo hoja yako ni Wewe hasaa ndiye umeonyesha uoga wa kuongea UKWELI.---- Katika jamii haiwezekani na haitatokea watu wote wawe sawa, wapo wengine watatambua ukweli na wapo watakaopinga sasa ni bora useme kweli kwa ajili ya hao waupendao na ukweli ndio unaomuweka mtu huru na sema kweli lau watu wachukie na sema kweli daima na fitna iwe mwiko.
 
Waingereza wanajua sana utawala na administration. Wakati wa utawala Waingereza, mameneja wa mashamba ya katani wengi walikua ni Waingereza waliofanya kazi katika mashamba Mexico na walielewa vizuri kilimo cha mkonge.

Mashamba ya chai ma bwana shamba walikua kutoka Burma sikuhizi inaitwa Myanmar, hawa watu wakiielewa chai vizuri kama mimi ninavyouelwea mchunga.

Madam, A good news, nitaanzisha mashamba ya mchunga kaa mkao wa kuwa meneja wa hayo mashamba.🤣
 
JokaKuu kilimo cha karanga kilifanikiwa sana Dodoma, baada ya WWII Uingereza ilikumbwa na recession na makoloni yaliwajibika kuikomboa nchi mama. Hapa madini yetu yalichotwa sana na kwa sana.

Karanga ilileta mafanikio makubwa na ziliokwa na kufingwa kwenye foil na lable ya groundnuts from British East Africa. Ziliuzwa sana hasa katika makoloni ya Uingereza kuanzia Zambia, Malawi mpaka Australia na Canada.
 
Tatizo Hao walimu walioliongoza taifa Tokea mwanzo walikuwa wakifundisha uongo

..Waznz mnatakiwa muunganishe nguvu zenu na Watanganyika ili tupate ukombozi wa kweli.

..Nayaona makosa yaliyofanyika wakati wa Maalim Seif na CUF yakijirudia kwa ACT.

..Labda inahitajika a THIRD FORCE itakayotutoa ktk mkwamo baina ya CCM na ACT.

..Jambo lingine viongozi wa Kizanzibari wakifika huku Tanganyika wananogewa na MALI wanazochuma na kusahau shida za nchi yao / Zanzibar.
 
JokaKuu kilimo cha karanga kilifanikiwa sana Dodoma, baada ya WWII Uingereza ilikumbwa na recession na makoloni yaliwajibika kuikomboa nchi mama. Hapa madini yetu yalichotwa sana na kwa sana.

Karanga ilileta mafanikio makubwa na ziliokwa na kufingwa kwenye foil na lable ya groundnuts from British East Africa. Ziliuzwa sana hasa katika makoloni ya Uingereza kuanzia Zambia, Malawi mpaka Australia na Canada.

..Nini kilisababisha mradi wa kilimo cha karanga Dodoma kufa?

..Afadhali serikali ingepeleka fedha kwenye kilimo cha karanga, zabibu, etc Dodoma kuliko kujenga mji mkuu.
 
..Waznz mnatakiwa muunganishe nguvu zenu na Watanganyika ili tupate ukombozi wa kweli.

..Nayaona makosa yaliyofanyika wakati wa Maalim Seif na CUF yakijirudia kwa ACT.

..Labda inahitajika a THIRD FORCE itakayotutoa ktk mkwamo baina ya CCM na ACT.

..Jambo lingine viongozi wa Kizanzibari wakifika huku Tanganyika wananogewa na MALI wanazochuma na kusahau shida za nchi yao / Zanzibar.

Viongozi wa CCM wa Zanzibar wengi ni Wazanzibara walioletwa kutoka Tanganyika.

Tatizo liko bara kwani mkiambiwa tuandamane hatoki mtu kwa woga. Akitangaza Kamanda Sirro kuwa anataka kufanya usafi wa mazingira pamoja Na gengi lake nyote mnajifungia vyooni
 
..ni kwasababu kazi ya kuelimisha wananchi kuhusu HAKI zao haijafanyika sawasawa huku Tanganyika kama ilivyofanyika Zanzibar.
 
Viongozi wa CCM wa Zanzibar wengi ni Wazanzibara walioletwa kutoka Tanganyika.
Hii hoja ni hatari sana. CUF walisema wote wenye nywele za kipili pili walitoka Bara.
Kwamba usipounga mkono CUF ya Maalim wewe ni Mtanganyika

Jibu walilopewa lilikuwa hili '' Zanzibar ni ya Wazinzibar , Machotara rudini kwenu''
 
Lete ushahidi wa Nani alisema maneno hayo ?
 
Kwanini unafeli mtihani rahisi hivi?

Swali ni hili '' Je mapinduzi ni Halali au ni Haramu'?
Wewe unayepasi niambie kuuwa watu kwa maelfu kunajisi ,kupora ni halali kwa dini ipi?
 
..Ndugu yangu jitahidini msiingize Ukristo vs Uislamu.

..CCM wanapotubamiza hawaangalii dini ya mtu.

..Mimi naendelea kusisitiza kwamba bila CCM kutikiswa huku Tanganyika, Zanzibar haiwezi kuomboleza.
Sikumuuliza kwa nia mbaya nilitaka nipate kumuonyesha Tu kuwa hilo jambo halikubaliki kwa dini zote Si uislamu Na Ukristo Tu hata dini nyengine Kama ubuda Na uhindu nk
 
Wewe unayepasi niambie kuuwa watu kwa maelfu kunajisi ,kupora ni halali kwa dini ipi?
Sijui ninachokuuliza ni rahisi, ikiwa '' Nyerere anatuhumiwa kuleta mapinduzi'' je, mapinduzi ya Zanzibar ni HALALI au ni HARAMU?
Ninaweza kukuuliza maswali juu ya kiwango chako cha elimu, please nifahamishe .

Huu mjadala ni mzito na watu waliopo ni wazito, Mohamed Said anajua.

Mi nadhani ukamalizie homework ya sayansi kimu wakati ukifika urejee hapa.
Kama unadhani bado una mtima, hebu tueleze Mapinduzi ya Zanzibar ni Halali au ni Haramu?
 
Back
Top Bottom