Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
- Thread starter
- #61
Waingereza wanajua sana utawala na administration. Wakati wa utawala Waingereza, mameneja wa mashamba ya katani wengi walikua ni Waingereza waliofanya kazi katika mashamba Mexico na walielewa vizuri kilimo cha mkonge...serikali ya awamu ya kwanza ilitaifisha mashamba ya mkonge toka kwa watu binafsi na kuyafanya mali ya umma.
..Baada ya hapo mashamba hayo yakawa yanaendeshwa na watumishi wa umma / serikali ambao walikuwa hawana uelewa kuhusu sekta ya mkonge.
..matokeo yake uzalishaji mashambani ukapungua, na mashine ktk viwanda vya mkonge zikaharibika.
Mashamba ya chai ma bwana shamba walikua kutoka Burma sikuhizi inaitwa Myanmar, hawa watu waliielewa chai vizuri kama mimi ninavyouelwea mchunga.