2010 BMW 320i vs Mercedes Benz C Class


Hizi ni comment watu wanakupa experience zao

Usikalili tu every European car gives you everything


Nakushauri pia ili usiwe disappointed

Fanya Ride test ya gari zote same class unazotaka

-endesha iyo BMW 2010
-endesha Mercedes C200 2010
-try crown 2010
-ongeza na Nissan Fuga


Ili ujue kabisa hizo gari zinakupa vitu tofauti tofauti


Mfano:
nlianaza na crown royal na nlikuwa na hamu sana na C200 kompressor,Nlikuja kuendesha kuna vitu nlipata safety features na pride,lakini kuna ambavyo sikupata nlikuwa na expect kutoka benz

Nikagundua RIDE TEST Ni muhimu pia kabla hujaagiza


Mpka nikaanzisha uzi wa crown the japannese benz [emoji28]

That was my appreciation post kwa mjapan thou niko na mjerumani.
 
Kitendo cha kuiita Crown the Japanese Benz tayari unamaanisha Crown iko modelled on Benz. So in other way you are appreciating Benz km benchmark ya comfort ability duniani
 
Huo ni uongo [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Shida ni magari au shida ni nyinyi mafundi?
 
Huwezi kutumia C class kuitambua Benz..tena C200 ni gari za watu wa college..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…