2014 nilirogwa kwa kununua dawa ya mvuto mtaani, sikuwa najitambua, ponea yangu ni ndugu yangu kunijua nina tatizo na kunipeleka kwa mtaalam

Hujaelezea mwaka gani
 
Zipo lakini nyingi zinahitaji malipo ya kiroho ambayo huwa waganga wanaficha ficha.

kafara utaambiwa ni kuku tu siku za mwanzo, kuja kustuka wanahitaji utimamu wa mtu wako wa karibu na hakuna kuvunja mkataba.
umetoa elimu nzuri sana, wafanyabiashara wanaotumia njia hii huangukia hapa.
 
Aisee
 
Majobless wa jf bana saa zote mnawaza kutapeliwa. Mwana katoa story yake na kasema na mganga alishakufaa ila mlivyokamaa nae sasa.
 
Zipo lakini nyingi zinahitaji malipo ya kiroho ambayo huwa waganga wanaficha ficha.

kafara utaambiwa ni kuku tu siku za mwanzo, kuja kustuka wanahitaji utimamu wa mtu wako wa karibu na hakuna kuvunja mkataba.
Mkuu hii ni kweli kabisa ???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…