Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wangoni wanarasilimali kuliko WanyirambaNimekodoa macho Kama nitaona wangoni wapiiiii😂😂😂😂
Hehe..kiaje bro dadavulia mimiWangoni wanaraislimali kuliko Wanyiramba
Mkuu kutambika na kuroga ni vitu viwili tofauti hivyo.wanatambika (wanaloga!)
Yale Makaa ya mawe Iramba hayapo.Hehe..kiaje bro dadavulia mimi
Kutambika ni uchawi kwisha kama unabisha tafuta takwimu mkoa upi unaingiza kwa watumiaji wa uchwi then ulete hapa..Mkuu kutambika na kuroga ni vitu viwili tofauti hivyo.
Kutambika ni practice mojawapo ya kudumisha Mila na desturi ya kabila.
Kuroga ni mambo mengine kabisa ya uchawi, unaweza hata kuununua huo uchawi Kwa wahanga.