2022 Haya ndio makabila yanaongoza kwa maendeleo

2022 Haya ndio makabila yanaongoza kwa maendeleo

Endeleeni kukaririshana upumbavu miaka yote kuja kushtuka nyote mtakuwa watumwa wawasukuma kwa uzumbukuku wenu.
Niliwahi kwenda msibani sehemu fulani ndani ya wilaya ya hai, nikakutana na vijana wawili wa kisukuma, wa kaniambia wa nafanya kazi ya kul isha ngombe, nikawa uliza mbona kwenu kuna ngombe nyingi mara elfu kuliko huku uchagani? Kwa nini msiendeleze mifugo yenu na badala yake mje mbali huku kuajiriwa kwa ujira mdogo hivi? Walichonijibu ni siri yangu, kuna watu wana Mali, ila si matajiri, kama tu nchi ya Tanzania yenye Mali nyingi lakini bado tu ni masikini.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Lakini top ten ya matajiri tanzania ni wahindi na waarabu.

Labda useme wamefanikiwa kuwa na biashara ndogo ndogo.
 
Wachaga wako juu na hakuna wa kuwashusha wako na akili na spirit ya waisraeli popote wanakwenda na wanatoboa Kwa kazi na biashara yoyote na shule vijana wao wanapelekwa Kwa hivyo Wachaga wanaelimika sana tangu hapo zamani mpaka sasa.
Wasukuma ni wengi kweli ila ni washamba sana na ni wavivu wa kufikiri na ni walozi sana tena sana.
Elimu kwao imewapiga chenga na ukiona msukuma kaenda shule basi ana asili ya kabila lingine pia na matajiri wengi wa kisukuma ni full ndago hilo linajulikana nchi nzima na wanafanya kazi au maisha yao ni kama watumwa tu hawaelewi vipi mambo yanakwenda na ni washamba kiasi Cha kutapeliwa sana hasa waingiapo mjini.
Msukuma bado primitive sana kila nyanja.
 
Propaganda ikitumika vizuri; mbingu inaweza kuonekana kama kuzimu, na kuzimu kama mbinguni.
Screenshot_20221018-185750_Chrome.jpg
 
Mungu azidi kuwabariki wachagga wote popote pale walipo na makabila mengine yawe watumwa wetu.

Amen...
 
We una umri gani kwanza. Mambo unayozungumzia yameshapitwa na wakati. Kwanza yanakusaidia nini kama siyo umejaa ukabila? Umesahau uchagani ndio kuna ongoza kwa kwashiakor? Kunaongoza kwa aina nyingi za pombe ya kienyeji kiasi wanawake ndiyo wanaochimba mifereji? Je siyo uchagani wanaume wameshindwa kuhudumia wanawake zao kingono mpaka wanasaidiwa na wakenya kwa sababu ya ulevi? Shule unazozungumzia ni zile zilizojengwa na taasisi za kizungu hasa za kidini na zikaja kutaifishwa na serikali na hatimaye walisoma watanzania wote siyo wachaga tu. Kwa leo Mikoa yote ina shule nyingi za sekondari na za msingi. Sasa hivi unakuta kata moja ina shule za sekondari mpaka 4. Kama kusoma sasa hivi makabila yote yamesoma acheni kudanganya watu wasiowafahamu. Uchagani kuna umaskini hakuna mfano ndiyo maana kijana wa kichaga akimaliza tu shule iwe ya msingi au ya sekondari na ameshindwa kuendelea ni kukimbia kuelekea mikoa mingine kwa sababu uchagani hakukaliki. Mnaishi kama wakimbizi bado unajisifu eti mwisho wa mwaka mnarudi nyumbani mlikuwa wapi mwaka mzima? Kama kwenu ni kuzuri kumeendelea kitu gani kinawafanya msitulie kwenu? Msidanganye watu uchagani kugumu mi nakufahamu tena sana.

Unazungumzia kuendeleza kwenu, nikuulize ni wilaya gani ndani ya mkoa wa Kilimanjaro makao makuu yake yana hadhi hata ya halmashauri ya mji? Mkoa kama Tanga Korogwe ina Halamashauri 2 moja ya mji, una Halamashauri 2, wilaya ya Handeni ina Halmashauri 2 moja ya mji. Kilimanjaro Rombo ni ili ile, Hai ndiyo ina mji mdogo wa Bomang'ombe, Siha haina lolote, Same ndiyo hivyo tena imeshadoda, Mwanga huwezi kujua hata kama ni makao makuu ya Wilaya utafikiri kijiji. Sasa niambie huko mlikoendeleza miji yake inaitwaje?

Tatizo wachaga wengi mna matatizo ya afya ya akili kwasababu ya ugumu wa maisha. Mnapenda makuu kwa vitu vidogo sana, mnapenda sifa za kijinga tena za uwongo, mna ukabila, mnapenda sana ligi tena mnataka kushindana na makabila zaidi ya 120 ya Tanzania. Kwenu kuna umaskini hakuna rasilimali yoyote, hakuna ardhi kusema mlime, kwanza ni wavivu wa kulima mnapenda short cut muuze vifaa vya kichina, mfanye umachinga, mchome nyama, mpike supu, mkaange chipsi ndiyo kazi yenu. Hakuna bahari wala ziwa kwenu kusema mvue, hakuna ufugaji wowote mna uchumi gani?. Nyie mtaendelea kuishi kama wakimbizi ndani ya Tanzania. Mwezi wa 12 mnarudi kwenu kwenda kuwaonesha ndugu zenu mliowaacha mlichovuna mnavyopenda sifa. Kingine ni kwenda kuzikwa kwenu. Matajiri wa kichaga ni wachache sana kulinganisha ni population ya wachaga, wachache sana. Acheni show off na sifa za kijinga, sifa ya tajiri wa kweli ni siri hapendi kujionesha, ni maskini tu ndio hupenda kujionesha na kujisifu ndiyo sifa yenu.
Hii Chuki ukiendelea kuishikilia kwa siku tatu tu mfululizo, UNAKUFA, hapo tu presha imekupanda hadi unataka kupasuka!! Acha ndugu yangu, waza mambo mengine

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom