2022 Haya ndio makabila yanaongoza kwa maendeleo

2022 Haya ndio makabila yanaongoza kwa maendeleo

Huku kuna pori gani? Msukuma anaanzisha miji, na ameanzisha miji mingi hapa Tanzania, na kwa taarifa yako sehemu yoyote yenye rutuba hapa Tanzania msukuma huwa hakosi ata kidogo, hakuna watu wanaonusa fursa haraka na wana macho ya mwewe kama wasukuma, kaa na uzwazwa wako😝😝😝😝😝
Wasukuma wana ardhi gani yenye rutuba? Mkoa upi una rutuba? Danganya ambao hawajui usukumani. Kungekuwa na rutuba mngelima mtama mihogo na pamba? We kwl zuzu, popoma.
 
Wachaga na wakinga wako kila sector sio.kariakoo tu ukienda kwenda usafirishaji wanamiliki.hadi ndege mfano Precision Air
Ukienda kwenye mahoteli makubwa usiseme inamaanisha makubwa

Ukienda magari ya usafirishaji.kuanzia malori hadi mabasi usiseme kaukuta mjinga au mchaga ana Malori na mabasi 100 kitu kidogo sana

Wanamiliki makampuni makubwa ndani na nje ya nchi siongelei Tanzania au Afrika namaanisha nje ya bara la Afrika

Maferemu asilimia kubwa kariakoo zinamilikiwa na wachaga na wakinga .Kodi.yake wewe lofa huwezi kupanga hiyo.hela huna.
Wako kila sekta

Akili huna wewe.Wao Hawako.kwenye uchuuzi tu
Na meli za mizigo pia, kuna meli ya mizigo matangazo yake yapo Azam tv, Mapembelo freight, hiyo nayo hajaona.
 
Mungu azidi kuwabariki wachagga wote popote pale walipo na makabila mengine yawe watumwa wetu.

Amen...
Nyie ndio watumwa wa watanzania. Muwe watumwa mara ngapi. Kuna mtanzania amekuja uchagani? Nyie ndio mnawafuata watanzania kwasababu ya umaskini wenu. Mtaendelea kuwa wakimbizi ndani ya Tanzania hamna namna mtakufa njaa. Nyie kwanza mna laana ya ubaguzi mnabaguana hata wenyewe. Nyie siyo kabila moja mnajiona wachaga kwasababu mko ndani ya koti kubwa la Tanzania. Mkiachwa wenyewe kuna wamachame, wakibosho, wamarangu, warombo n.k. Shameful!
 
Mbona siwaoni wafipa,wamatengo,wasumbwa.
Hakuna kabila linaloitwa wapemba
Wasumbwa ni sehemu ya wanyamwezi kwa wale waliopo wilaya ya Kaliua na Urambo.

Wale waliopo kule Kahama naona wanajitambulisha zaidi kama Wasukuma
 
Nyie ndio watumwa wa watanzania. Muwe watumwa mara ngapi. Kuna mtanzania amekuja uchagani? Nyie ndio mnawafuata watanzania kwasababu ya umaskini wenu. Mtaendelea kuwa wakimbizi ndani ya Tanzania hamna namna mtakufa njaa. Nyie kwanza mna laana ya ubaguzi mnabaguana hata wenyewe. Nyie siyo kabila moja mnajiona wachaga kwasababu mko ndani ya koti kubwa la Tanzania. Mkiachwa wenyewe kuna wamachame, wakibosho, wamarangu, warombo n.k. Shameful!
Punguza chuki mkuu, 😁😁 wahindi wanatawala soko la hoteli Marekani sembuse wachaga kutoka nje ya mji wao kutafuta fursa 😁😁 ila uzuri hawakusahau kwao
 
Nenda Nairobi Wachaga wapo wanafanya biashara, nenda Kasumbalesa Wachaga wapo,nenda Lilongwe Malawi,nenda Lusaka nenda Kampala nenda China Guangzhou nenda South Africa hadi USA Wachaga wapo wanatafuta mafanikio.
Kwa hapa bongo ndio usiseme kila sehemu wapo na wanapiga Hela kama yote.
 
Na mbaya zaidi umaskini wa akili hukufanya usifanye juhudi yoyote kwenye kujiendeleza, unabaki kuishi kwa matumaini kuwa ''kuna siku wale waliokuzidi watakuja kuporomoka ili muwe maskini wote''. Muda wote unakuwa unautumia kusengenya wenye uwezo na kuomba dua mbaya ili wafilisike.
Such type of people are mentally mind castrated
 
Wafanyabiashara wakubwa mwanza ni wakurya wala sio wasukuma au wahaya kama ulikua hujui
Kijana ukienda Libeti hapo ukahesabu maduka mengi utasema ni ya wakurya? Benda hata stendi halo kahe sabu mabasi na kosta nyingi ni za amina nani kama soo wasukuma! Wewe umekaria Zakaria na kisire! Umekariri kitana na gachuma lakini kwa taarifa yako hao kishimba hawamfikii na akina baraka wafanyabiashara wa madini na vijana wengi wa geita na kahama walo mwanza hako! Sema wasukuma ni wakimya tu!
 
Back
Top Bottom