2022 Haya ndio makabila yanaongoza kwa maendeleo

Umempa za uso. Hatuna show off ila pesa ipo
 
Mkuu kunywa maji upunguze hasira. Mikuki yako imewachoma watu. Umekuwa sumu kwao
 
Povu la mtumwa utalijua tu....
Kwani waafrika tulivyofanywa watumwa na wazungu na waarabu sisi ndio tuliwafuata kwao au wao ndio walikuja kwetu.

Alafu ukumbuke pia mwazilishi mwenza wa hii JamiiForums ni mchagga, so bwabwaja kwa step usije ukapigwa burn ya maisha
 
wasukuma kawaida wanachojua wao ni nguvu nyingi akili kidogo
 
Wabena umewaachaje hapo mzee
Kwanza salimia basi 😂
Kamwene mnogage, ni matumaini yangu mko poa pamoja na watani zenu wahehe

Mkinga hana mtani lakini si mbaya muwe mnajisogeza kwao wawamegee madini 😁
 
Uko sahihi kabisa. Wangekuwa na uchumi mzuri miji midogo ya biashara ingechipuka uchaggani lakini hawana kitu. Angalia usukumani miji midogo inavyochipuka kama Katoro, Masumbwe, Lamadi, Lunzewe, Nyarugusu, Lwamgasa n.k.. Uchaggani hakuna madini wala uvuvi halafu mtu anasema eti wameendelea ! Kwa lipi ?
 
Kuna washirikina zaidi ya wachagga ? Kweli bangi na mbege havimuachi mtu salama.
 

Bwahaha [emoji1787]
 
Wasukuma wana ardhi gani yenye rutuba? Mkoa upi una rutuba? Danganya ambao hawajui usukumani. Kungekuwa na rutuba mngelima mtama mihogo na pamba? We kwl zuzu, popoma.
Kama hakuna rutuba wangekuwa wanalima mpunga na mahindi ya kutosha, pia wasukuma wamechukua maeneo makubwa ya nchi hii, kama ifakara, mbeya, katavi, mpanda, morogoro, mtwara n.k.
Kama ulikuwa hujui msukuma ndio anaongoza kwa kutafuta pesa hapa Tanzania, tofauti na makabila mengine yanayojitapa kutwa nzima kukimbilia mijini wakijiona ndio wapambanaji, msukuma utamkuta mjini, utamkuta vijijini, porini na kwenye mbuga akitafuta pesa.
 
Tutafute pesa vijana wenzangu. Hilo ndio jambo muhimu.
 
Haya hebu tutajie biashara ya msukuma iliyopo dar,mbeya arusha,morogoro na dodoma kwa uchache
 
Mkuu TAMBIKO ni nini kwa tafsiri yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…