Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
- #201
Wenyeji safari hii hawana timu kali sana!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli Mkuu maana huku Dstv unaangalia mechi utasema uko live uwanjaniHuu ndio ukweli
Mlandege kafikaje tena hukuHii imeenda kama ya mlandege tu
SijuiMlandege kafikaje tena huku
Watu kama Bajana watakula sana cardKwa huu mpira wa kwanza wa ufunguzi naona TANZANIA tunayo kazi ya kushikilia mioyo
Watu kama Bajana watakula sana card
Jamaa amefunga goli zuri sana, wangekuwa wachezaji wetu wa Kibongo hawezi kufunga kwenye yale mazingiraWhat a goal!!
Kwa bongo hakunaJamaa amefunga goli zuri sana, wangekuwa wachezaji wetu wa Kibongo hawezi kufunga kwenye yale mazingira