Kuna madogo wa taifa stars jana walikuwa hawajui wimbo wa taifaJamaa wa Guinea Bissau [emoji1120] anaimba wimbo wa taifa hadi machozi yanamtoka
hata mimi nawapa nafasi sana japan,japo australia na iran pia wapinzani dhaifuKule Asia Japan asipo beba ndoo itakuwa sio poa. Japan wapo vizuri sana. Pia kura yangu inaenda kwa Korea Kusini [emoji2406]
Decision: No penaltyVAR checking…
Mpira siyo kitabuHapa tuchague..
1: tupeleke madogo nje wakale kitabu
2: tulete wataalam waje wachague madogo, wawapige kitabu
Tofauti na hapo, tunajidanganya tu
Kadi ya njano imefutwa?Njia moja wapo ya kuboresha ligi yetu ni kuleta VAR mfano hapa naangalia mechi ya GUINE kidogo watu wapewe ushindi feki na kadi ya njano feki maana yake mshindi angekuwa feki ndicho kinachotokeaga hapa bongo mfano mfungaji bora feki ndugu saido
Kwa hiyo ata kugegeda hatuwezi fanya kwa ufanisi 🤣🤣🤣🤣Tanzania hakuna tunachoweza kufanya kwa ufanisi yaani chochote tunachofanya sisi bas wenzetu wanaweza kufanya mara 4 zaid yetu.
Hapo ndio tunapojidanganya. Mpira ni kitabu bwana ila sie tunachukulia ile literally kitabu. Kitabu kwa maana its about decision making na uelewa na fundamental tactics involved.Mpira siyo kitabu
Mpira ni kipaji + bidii
Usishangae, imefutwa. Ukiangalia beki ndo alikatwa vibaya wakati anaanguka ndo akamkwatua mshambuliaji bahati mbaya.Kadi ya njano imefutwa?
KabisaKwa hiyo ata kugegeda hatuwezi fanya kwa ufanisi 🤣🤣🤣🤣