2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

 
Ousmane Diomande, mlinzi wa Ivory Coast anayewania na vilabu vikubwa barani ulaya.

Leo nataka nimuangalie panapo majaaliwa.


Hawa jamaa wana midfield ya kibabe kweli kweli.
Sangare + kessie + fofana.

Ila sielewi kwa nini mpaka leo wanamtumia muhuni serge aurier huo upande wa kulia, ina maana kwa miaka 10 wameshindwa kuzalisha kizazi chengine upande huo?

Labda ni kwa sababu ya uzoefu
 
Africa bado sisi ni mafukara sana yaani watazamaji hata uwanja wa watu 20,000 viwanja bado ni vitupu

Ivory coast inapakana na nchi nyingi tu

Miundombinu ingekuwa ya uhakika watu wangekuwa wanaenda kuangalia mechi wanarudi kwao

Africa mashariki ipo katika ushirikiano wa kuandaa mashindano ya africa

Kungekuwepo na tren express mtu unaangalia game kwa mkapa unadaka tren unawahi game nairobi then kesho unaamkia kampala

Ila kwa miundombinu ya africa mashariki kila shabiki atabaki kwenye nchi yake na ile maana ya ushirikiano haitakuwepo kabisa

Then unaona likiongozi la siasa tumbo kubwa linahutubia uzalendo ila wakiondolewa makamera wanaanza kushindana kuiba mapesa kwenye magunia
 
Umeongea ukwel kbs
 
Mchawi kibunda africa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…