Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
- #2,221
🤣🤣natamani guinea bissau apigwe nyingi atufichie aibu sisi taifa stars!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣natamani guinea bissau apigwe nyingi atufichie aibu sisi taifa stars!
Angalia mpira vzr na kwa umakini...Mpira siyo kitabu
Mpira ni kipaji + bidii
Hapo ndio tunapojidanganya. Mpira ni kitabu bwana ila sie tunachukulia ile literally kitabu. Kitabu kwa maana its about decision making na uelewa na fundamental tactics involved.
Sie wee ona ata interviews zetu za wachezaji...utasika tunamshukuru mungu tumemaliza mchezo salama, ila leo mungu amepanga wapimzani washinde
Asante Sana Equatorial Guinea.
Poleni sana Hamtoboi.
Ousmane Diomande, mlinzi wa Ivory Coast anayewania na vilabu vikubwa barani ulaya.Ivory CoastView attachment 2875735
All The Best.Ivory CoastView attachment 2875735
Umeongea ukwel kbsAfrica bado sisi ni mafukara sana yaani watazamaji hata uwanja wa watu 20,000 viwanja bado ni vitupu
Ivory coast inapakana na nchi nyingi tu
Miundombinu ingekuwa ya uhakika watu wangekuwa wanaenda kuangalia mechi wanarudi kwao
Africa mashariki ipo katika ushirikiano wa kuandaa mashindano ya africa
Kungekuwepo na tren express mtu unaangalia game kwa mkapa unadaka tren unawahi game nairobi then kesho unaamkia kampala
Ila kwa miundombinu ya africa mashariki kila shabiki atabaki kwenye nchi yake na ile maana ya ushirikiano haitakuwepo kabisa
Then unaona likiongozi la siasa tumbo kubwa linahutubia uzalendo ila wakiondolewa makamera wanaanza kushindana kuiba mapesa kwenye magunia
Mchawi kibunda africaAfrica bado sisi ni mafukara sana yaani watazamaji hata uwanja wa watu 20,000 viwanja bado ni vitupu