2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

Njia moja wapo ya kuboresha ligi yetu ni kuleta VAR mfano hapa naangalia mechi ya GUINE kidogo watu wapewe ushindi feki na kadi ya njano feki maana yake mshindi angekuwa feki ndicho kinachotokeaga hapa bongo mfano mfungaji bora feki ndugu saido
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huyu refa mnamkumbuka? Ndiyo yule aliwanyoosha waarabu wa esperance kipindi wanacheza na mazembe pia ndiye aliyewanyoosha medeama pale kwa mkapa, jamaa hua hababaishi halafu anajiamini kinoma leo kapuliza kipenga cha kumaliza half time huku anaziangalia camera kwa kutabasamu katoka hapo kaenda kuwapongeza wenzake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…