Eng. Zezudu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 8,024
- 11,546
Wachezaji wa Afrika akili hamna kabisa yani limtu linakimbia na mpira na linatska kufunga lenyewe, akili Haina pass accuracy ni poor
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani Taifa starz kazi wanayo.Timu yetu imeonyesha udogo wake pakubwa sana.
Kuna timu zinafungwa kweli but wanapambana sana.
Hatuna timuJamani Taifa starz kazi wanayo.
[emoji23][emoji23][emoji23] hapana kwa Congo na Zambia zitakuwepoNakwambia kweli. Tutamaliza bila On Target nakwambia.
Unajielewa kweli? La kibu alitema? Hapa tunazungumzia tatizo la kutema mipira ambayo anastahili kudakaMbna la kibu hakumezaaa? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
watu ukiwambia ivyo wanasema unadharau ila ki ukweli wachezaji wetu wana mili mikubwa tu ila intelligence ni Ndogo sanaWachezaji wa Afrika akili hamna kabisa yani limtu linakimbia na mpira na linatska kufunga lenyewe, akili Haina pass accuracy ni poor
Kazingua sana, angetoa pasi wangeweza kupata goli.Wachezaji wa Afrika akili hamna kabisa yani limtu linakimbia na mpira na linatska kufunga lenyewe, akili Haina pass accuracy ni poor
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ivory coast toka wambague drogba kwenye kuongoza mpira nikajua niwale wale km Tanzania
Nigeria akishinda hii game anaenda 16 bora ila ivory coast bora watoke tuNigeria toka mechi inaanza walionesha kuna kitu wanatafuta wenyeji wakionesha hata droo kwao poa tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wachezaji wa Afrika akili hamna kabisa yani limtu linakimbia na mpira na linatska kufunga lenyewe, akili Haina pass accuracy ni poor
Na Mashabiki walivyo jaa sasaHii penalt ni softy sana... tembo wameonewa.
poleni sana ili kundi ivory coast inabidi watokeNigeria wameamua kutukomalia aisee
Kwa kweli team hakuna wallah.Hatuna timu
Sasa mtu kama aurier anaanza kuna kazi hapoNigeria akishinda hii game anaenda 16 bora ila ivory coast bora watoke tu
Bora anayetema, kuliko hata huyo kutema hawezi, anaacha liingie 1 kwa 1, afu relaaxx sawaa eeeh.Unajielewa kweli? La kibu alitema? Hapa tunazungumzia tatizo la kutema mipira ambayo anastahili kudaka
Equatorial Guinea ni balaa wale ma giantpoleni sana ili kundi ivory coast inabidi watoke