2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

Nigeria toka mechi inaanza walionesha kuna kitu wanatafuta wenyeji wakionesha hata droo kwao poa tu
 
Unajielewa kweli? La kibu alitema? Hapa tunazungumzia tatizo la kutema mipira ambayo anastahili kudaka
Bora anayetema, kuliko hata huyo kutema hawezi, anaacha liingie 1 kwa 1, afu relaaxx sawaa eeeh.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],
 
Back
Top Bottom