Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa mtu kama aurier anaanza kuna kazi hapo
Timu halina wachezaji kabisa afu wanamuacha Zaha kwa wachezaji Gani walionaoSasa mtu kama aurier anaanza kuna kazi hapo
Aurier ni Babu kabisa tena kibogoyo hana udogoUyu dogo anapenda sana mpira na anajituma sana ila bahati mbaya kipaji cha kawaida
Aurier ni Babu kabisa tena kibogoyo hana udogo
Huyu jamaa yupo timu gani sasa hiviUyu dogo anapenda sana mpira na anajituma sana ila bahati mbaya kipaji cha kawaida
Kwann hawajamuita huyo jamaaTimu halina wachezaji kabisa afu wanamuacha Zaha kwa wachezaji Gani walionao
Osihmen naona anajituma sanaSema utatu wa Nigeria leo nimeupenda chukwueze,osimeh na lookman utatu wao nimeupenda sana
wapuzi tu itakua iliomba rushwa akagoma kwahyo imeamua imkomeshe kwanza Boly sio wakukaa Bechi kabisaKwann hawajamuita huyo jamaa
Nahisi timu za taifa za africa zinaongoza kwa migogoro
AmetolewaOsihmen naona anajituma sana
Huyu jamaa yupo timu gani sasa hivi
Maana pale nottngham alikuwa hapati nafasi kabisa
Duh safari ni ndefuwapuzi tu itakua iliomba rushwa akagoma kwahyo imeamua imkomeshe kwanza Boly sio wakukaa Bechi kabisa