Twin Tower
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 2,170
- 3,067
Nakwambia kweli. Tutamaliza bila On Target nakwambia.
Soft sana. Inafanana na ile ya Egypt [emoji1093] vs Mozambique [emoji1174] japo ya Egypt ilikuwa sawa.Nigeria wanaongoza kwa bao 1 walilofunga kwa mkwaju wa penalt.
Sijawahi kuona penalt soft kama hii. Huyu refaree ni refarre bara lakini kwa huu uamuzi hapana aisee.
Lakini mwenyeji tuliisha msema hapa baada ya game ya kwanza kuwa hatishi kabisa.Mwenyeji haamini
Drogba hakuwahi kuchukua ndoo hii ujue pamoja na kuwa kwenye kikosi bora sana cha Ivory CoastDrogba yuko zake jukwaani amepoa
Drogba hakuwahi kuchukua ndoo hii ujue pamoja na kuwa kwenye kikosi bora sana cha Ivory Coast
Ni kweli mkuu, hawana maajabLakini mwenyeji tuliisha msema hapa baada ya game ya kwanza kuwa hatishi kabisa.
www.808ball.comKuna mtu ana link ya hii game?
Yah huwa inatokea, baadhi ya mastaa kushindwa kutwaa baadhi ya mataji. Ni kama ambavyo Ronaldo De Lima hajawahi kushindi Uefa Champions LeagueDrogba hakuwahi kuchukua ndoo hii ujue pamoja na kuwa kwenye kikosi bora sana cha Ivory Coast
Mechi ya kawaida sanaWachezaji wenye majina makubwa kwa timu zote, ila game mbovu..
game ya mamuzi nani anaenda nani ana bakiWachezaji wenye majina makubwa kwa timu zote, ila game mbovu..
Sana asee Nigeria walikuja na game plan nzur sana ila awa ivory coast wacha watoke tu maana wana timu ya kawaida sanaHii mechi ya Nigeria na Ivory coast ni Moja kati ya mechi bora afcon 2023[emoji119]
Nigeria wanapambana sana aise, sidhaniNigeria na Ghana wanatoka hatua za awali
Mbna la kibu hakumezaaa? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Diarra akiwa golini hauna wasiwasi kbs mashuti kama hayo huwa anayameza!