uwe hodari
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 4,045
- 8,608
Zimeshachuja hizo mkuu, subiri uone kama kuna timu kati ya hizo itabeba kombe.
Kombe litabebwa na team ambayo haijawahi kuwa bora.
SawaNimezitaja km best of all time regardless their current performance
Na Ndio raha ya mechi burudani na kiatu kwa wakati mmojaGame ina viatu hii
Level ni tofauti sana. Hivi hujiulizi tu hawa akina Pacome kwanini hawachezi timu za Ulaya huko? Yaani anatoka Asec Mimosa anakuja Yanga au Simba kwanini asiende Ulaya huko.Washambuliaji gawana maajabu wanabebwa na namba 6 ndo anafanya kazi yao bora hata pacome mara moja moja huwa ana kitu
Wakifungwa leo watakuwa wametolewa. Hawana cha kupoteza leo.hawa wagana ni hatarii
ivory coast inaonekana kuna joto sanawamisri wana sweat kama wamelowekwaa
31°Civory coast inaonekana kuna joto sana
kama mechi za mchana wachezaji wanapata tabu sana kama Nigeria mechi ya kwanza walipata Tabu sana31°C
Naona kwa mji huu sasa linasoma 28°C. Afadhali maana usiku huu.kama mechi za mchana wachezaji wanapata tabu sana kama Nigeria mechi ya kwanza walipata Tabu sana
ila kina mwanyeto kazi wanayoMpira mbovu sana yani hakuna anaejaribu kufunga hadi sasa. Hawa wachezaji wa Ghana hawaoneshi utofauti wowote kati yao na wachezaji wetu wa ligi kuu.