Richard spencer
JF-Expert Member
- Feb 22, 2021
- 1,225
- 1,993
Sio kwa timu hii ya Ghana.ila kina mwanyeto kazi wanayo
Jamaa ni hatari sana. Pale nilivyoona anaenda kupiga nilihesabu goli. Maana jamaa huwa shooting accuracy yake ni kubwa sana.Mohamed Salah anatoka huku Mohamed Kudus akiwatanguliza Ghana