themagnificient
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 1,033
- 3,720
Goli la kijingaYaani sub inachomesha tena. Why wanarudisha mpira nyuma? Hii ndo iliigharimu stars
Kabisa 100%wakuu hii game wote hawapo serious
Unamtoa mtu aliyefanya kosa in the same time unapigwa tena.Yaani sub inachomesha tena. Why wanarudisha mpira nyuma? Hii ndo iliigharimu stars
Wanajisahau wote ila sema kuna la ushindi hapa kwa mmoja waoGoli la kijinga
Wanajisahau wote ila sema kuna la ushindi hapa kwa mmoja waoGoli la kijinga
Misri nafuu kidogo inaweza msifia mpigaji. Lakini Ghana ni hovyo sana magoli yote wachezaji wamepoteza mipira kirahisi sanaGhana na Misri wote wana poor defending hovyo kabisa
Taratibu huwa wanajikuta wanaiharibu team ya ushindi.Ghana walikatazwa sub za haraka haraka baada ya kufunga. Hata kwenye World Cup iliwacost. Pumbavu zao.