2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

Ghana ni ujinga wao wenyewe hii game ingekuwa team inayojua kudefend Misri angekuwa kafa mapema kabisa bila kuchomoa hata moja
Ku-defend ni kukaribisha mashambulizi na kuweka lango lenu katika hatari kubwa na sio busara kujilinda dakika zikiwa bado nyingi kwani ni vigumu kutoboa na hiki ndio kimewagharimu Ghana. Pia, wasipokuwa makini, wanaweza kufungwa hizi dakika za lala salama.
 
Back
Top Bottom