Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,060
Sahihi kabisaMisri nafuu kidogo inaweza msifia mpigaji. Lakini Ghana ni hovyo sana magoli yote wachezaji wamepoteza mipira kirahisi sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sahihi kabisaMisri nafuu kidogo inaweza msifia mpigaji. Lakini Ghana ni hovyo sana magoli yote wachezaji wamepoteza mipira kirahisi sana
Kama Taifa Stars tuKiungo cha Ghana ni hovyo kabisa. Timu nzima ya Ghana ukimtoa Kudus na huyu Odi hawa wengine sijui wamefikaje ulaya
Ku-defend ni kukaribisha mashambulizi na kuweka lango lenu katika hatari kubwa na sio busara kujilinda dakika zikiwa bado nyingi kwani ni vigumu kutoboa na hiki ndio kimewagharimu Ghana. Pia, wasipokuwa makini, wanaweza kufungwa hizi dakika za lala salama.Ghana ni ujinga wao wenyewe hii game ingekuwa team inayojua kudefend Misri angekuwa kafa mapema kabisa bila kuchomoa hata moja
alikuwa analeta ustarabu wake wa kiwaki uwanjaniEgypt kama Mohamed Salah alikuwa anawakaba vile. Maana baada ya kutoka Salah wamekuwa wamoto balaa
Kabisa kakaKama Taifa Stars tu