Goodluck Mchika
JF-Expert Member
- Jul 29, 2018
- 1,228
- 1,138
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
DuhYaani mpaka sasa nikijaribu kumtafutia CCM timu ambayo atajitahidi kuchukua pointi sioni😂😂😂
Hii ghana ingekutana na CCM ilikuwa msiba zaid ya HANANG. Na ingekutana na mafarao ningeenda burundi kama alivyosema waziri zakayo( mwigulu tax collector)
🤣🤣🤣🌹🌹🌹🤣🤣🤣🤣Hivi hawa wachezaji wetu wa Tanzania walioko huko afcon wanaangalia hii match kweli..
Kwa viwango na mchezo unaochezwa hapa Kwakweli wanamoyo sana mm ningejihudhuru kabisa kucheza maana ni aibu sana.
Ramli hizoWangekuwa wanapiga mashuti kama Kudus ingekuwa hata afadhali.
Sasa hapa Ghana hatima yake ipo kwa Cape Verde kumfunga Msumbiji, halafu na yeye aje amfunge huyo Msumbiji, halafu amuombee Misri droo na Cape verde.
Ngumu kumesa hii....
Bora msondo ngoma wakacheze kuliko Taifa stars.Kiungo cha Ghana ni hovyo kabisa. Timu nzima ya Ghana ni Kudus na huyu Odoi ndio ambao wapo vizuri hawa wengine sijui wamefikaje ulaya
Feisal nasikia yupo na yule mama wa ki algeria alimsindikiza airport baada ya kufukuzwa.Hivi hawa wachezaji wetu wa Tanzania walioko huko afcon wanaangalia hii match kweli..
Kwa viwango na mchezo unaochezwa hapa Kwakweli wanamoyo sana mm ningejihudhuru kabisa kucheza maana ni aibu sana.
we utakuwa mshabiki wa liverpool na salah!Angalau egypt wamedroo, sikutaka ghana washinde.
Safi sana 🇪🇬
Kudus tena,shida ni upande wao wa kushoto,sijui wanafanya makusudi
Dogo kakabwa na mama joy huko.Feisal nasikia yupo na yule mama wa ki algeria alimsindikiza airport baada ya kufukuzwa.
Balaa sana hii.Mwenyeji yupo nafasi ya 3View attachment 2876057
Mtihani sana kwa mwenyeji aisee.Balaa sana hii.
Atamfungaje fungaje Equatorial Guinea?
Mechi ijayo anaweza kufa tenaMwenyeji yupo nafasi ya 3View attachment 2876057
Naunga mkono hojaMtihani sana kwa mwenyeji aisee.
Kwa sababu sare tu inamvusha Equatorial Guinea.