Kabisaaa mpira umemlenga kabisa eti anaonshe kuwa mpira umekatia hewaniHili goli la cape verde , huyu kipa wa mozambiki ana kesi ya kujibu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisaaa mpira umemlenga kabisa eti anaonshe kuwa mpira umekatia hewaniHili goli la cape verde , huyu kipa wa mozambiki ana kesi ya kujibu
Goli la kiboya sanaKabisaaa mpira umemlenga kabisa eti anaonshe kuwa mpira umekatia hewani
Hamna tuta hapo labda wabebwe tuuTuta kwa mozambiki hapa
Tunasubiri var maana duhTuta kwa mozambiki hapa
Var inatenguaTuta kwa mozambiki hapa
Huyu kipa ni type ya NBC Premier LeagueHili goli la cape verde , huyu kipa wa mozambiki ana kesi ya kujibu
C. Verde wameshafuzu kwa matokeo hayoCabo Verde 2-0 Mozambique [emoji1174]
Nani alaumiwe?Mozambique hovyo kbs
Nani alaumiwe?
Mozambique wapuuzi tu nao..Hili goli la cape verde , huyu kipa wa mozambiki ana kesi ya kujibu