Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,060
WapuuziGhana wamepanic tu
Sifia mpigaji. La pili mpira uli deflect kidogo.Sema GK wa Misri hana maajabu kiihivyo
Shida ni wale wachezaji wasiojituma kama kudusDaahhh, Ghana wanapoteza point 2 kizembe sana na wanajiweka wakati mgumu, ubest loser nao wanaupoteza
Sio tu game ya leoSifia mpigaji. La pili mpira uli deflect kidogo.
Miaka 35 sasa amechoka tayari.Sio tu game ya leo
Wangekuwa wanapiga mashuti kama Kudus ingekuwa hata afadhali.Shida ni wale wachezaji wasiojituma kama kudus