2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

Msumbiji unganeni na kichwa cha mwendawazimu kuburudika na hili goma huku sisi wamorocco na CV tukiteleza shwaaah
Your browser is not able to play this audio.
 
Kwa afya ya mpr ingekua vzr hawa giants wote Egypt na Ghana watoke makundi.. Underdogs wapite.

Ghana jana ndo ilikua nafas yake nzr kutafuta nafas kufuzu angempiga Farao.. Kudus kawafanyia kaz kubwa mabeki wao wanaruhusu tu magoal kifala.

Kundi ili Ghana proba yake ya kutoka ishakua kubwa kuliko kawaida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…