Kwanza nikiona kipa kautoa mpira mbali kisha mpira ufikiwe na maadui bila kashikashi yoyote ile, moja kwa moja linakuwa ni kosa la mabeki. Inakuwaje maadui watatu wote waufukie mpira, bila kuwapo beki yoyote?Onana haamini macho yake.
Mgunda akaimu majukumu yakeKOCHA WA 🇹🇿 AMEKULA BAN KUTOKANA NA KAULI ZAKE TATA HIV SASA CCM STAR HAINA KOCHA
Wacha wapigweNawaonea huruma sana cameroon
Kati ya Cape Verde au Equatorial Guinea inaweza kufanya Maajabu Afcon 2024
Mgunda kasema mpaka akatiwe fungu lake kwenye ile M500 afanyi kazi ya kanisa amegoma kabisa kasema kila ntu achukue chake mapemaMgunda akaimu majukumu yake
Goli alilofungwa leo Onana linafanana na lile alilofungwa Ayoub Lakred pale Azam Complex tulipocheza na Power DynamoHahaha bro pila lili deflect.
Nakushauri rudi upande wa pili,Match ilianza nikiwa sina timu, nilivyomuona Onana nikafall kwa Cameroon🇨🇲
Ni kweli na TFF nao wamemsimamisha, naona walikua wanamlia tu timing wamepata sababuKOCHA WA [emoji1241] AMEKULA BAN KUTOKANA NA KAULI ZAKE TATA HIV SASA CCM STAR HAINA KOCHA
Siwezii! Acha initeseNakushauri rudi upande wa pili,