2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

Karia wetu hakuonyeshwa, Etoo anaonyeshwa mara nyingiiii
Etoo, Drogba, Diouf hawa ni African Football Legends wana historia zao tukuka kwenye soka la Africa. Wamecheza Ulaya kwa mafanikio makubwa. Wamekua wachezaji bora wa Africa miaka na miaka. Wanajulikana Duniani na ni mabalozi wa FIFA so kuoneshwa kwao mara kwa mara wala usishangae. Unataka wamuoneshe Karia kwa kumbukumbu gani sasa kwenye soka la Africa na la Dunia kwa ujumla?! Kua fair basi hata ungekua wewe ndo uko chumba cha matangazo ungemuonesha Karia kweli?!
 
Upo sahihi kabisa .

Ni Kama Taifa stars na Tff tu sema cameroon imeizidi stars kwa Kuwa na wachezaji wa daraja la kuu .

Na song Ana uswahili mwingi angalia amemwacha Eric maxim anachezea Bayern Munich .
Makocha wengi wana mawazo ya kujiona ma genius wasiokosea
 
πŸ‡ΈπŸ‡³πŸ‡ΈπŸ‡³πŸ‡ΈπŸ‡³πŸ‡ΈπŸ‡³πŸ‡ΈπŸ‡³πŸ‡ΈπŸ‡³πŸ‡ΈπŸ‡³πŸ‡ΈπŸ‡³πŸ‡ΈπŸ‡³πŸ‡ΈπŸ‡³πŸ‡ΈπŸ‡³πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…