Goodluck Mchika
JF-Expert Member
- Jul 29, 2018
- 1,228
- 1,138
Uwezo wa kufikiria kwa haraka ni mdogoWadau kwanini hizi timu za ngozi nyeusi karibu kila mchezaji anaepokea pasi akiwa kati au mbele mara nyingi lazima atoe back pass kwanza halafu ndio akatafute nafasi nyingine.
Sijaona mchezo huo ukifanywa na Misri na Morocco.