Hapa team yetu ingekua inacheza unaona kama tunapiga jogging wakati wengine wanakimbiaNi kama Ivory Coast na Ghana tu.
Ivory Coast wana academy bora sana ya Asec ila timu yake huwa sio mzuri kwakuwa wanauza sana wachezaji ulaya
DiattaHuyu mwamba alifanya Tz isimsahau mpaka leo π
View attachment 2876766
Hawa kwenda france chap kwa haraka ndio wanakoibukia hukoSenegal ligi ya ndani hamna kitu ila wachezaji sijui wanaendaje endaje nje huko
INawalipa sanaHawa kwenda france chap kwa haraka ndio wanakoibukia huko
Kuna ile mbeumo ya brentford nayo imekula injuryPengine tungekuwa tunazungumza vingine kama akina Eric Maxim, Abubakar na Ekambi wangekuwa kwenye kikosi cha cmr