Being_neutral
JF-Expert Member
- Jan 9, 2024
- 376
- 727
Cameroon kenge kwa senegal ila usijichanganye ukawapeleka TZCameroon nae KENGE tuu...😞😞😏😏😏
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Cameroon kenge kwa senegal ila usijichanganye ukawapeleka TZCameroon nae KENGE tuu...😞😞😏😏😏
Seconded!Shùghuli imeisha! Senegal Bingwa Afcon2023
Kwamba Taifa Stars tucheze na Cameron?Cameroon kenge kwa senegal ila usijichanganye ukawapeleka TZ
Kuna goli la nne linanukia huko si watajinyonga kabisa hao waichukuao Senegal 😂😂Watu wengi hawaipendi senegal ndicho nilichoona🤣🤣🤣🤣🤣🇸🇳🇸🇳🇸🇳🇸🇳
Eti?? Kisa senegal kamfunga ndio tujiweke sawa na cameroon, yaani nimemwambia ateme mate chini bora tukutane na wamakonde ila tusithubutu kukutana na cameroon tutarudi burundiKwamba Taifa Stars tucheze na Cameron?
Taifa Stars
Egypt 😂😂
Si tumeenda gawa point 3 kwa kundi letu. Kila mtu anajua ilo. Kocha kaamua kukichafua kupunguza aibu.Eti?? Kisa senegal kamfunga ndio tujiweke sawa na cameroon, yaani nimemwambia ateme mate chini bora tukutane na wamakonde ila tusithubutu kukutana na cameroon tutarudi burundi
Wewe unachekesha sanaTaifa Stars
sema huyu kocha ana akili, kaamua kumtupia aibu mgunda 🤣🤣🤣na mgunda bila kulijua hilo kaingia mkenge🤣🤣 bora utimuliwe kuliko aibu inayofataSi tumeenda gawa point 3 kwa kundi letu. Kila mtu anajua ilo. Kocha kaamua kukichafua kupunguza aibu.
Mkuu watu wengi senegal hawaipendi tangu mpira unaanza nimeweka bendera huko za senegalKuna goli la nne linanukia huko si watajinyonga kabisa hao waichukuao Senegal 😂😂
Cape Verde!