Being_neutral
JF-Expert Member
- Jan 9, 2024
- 376
- 727
Cameroon kenge kwa senegal ila usijichanganye ukawapeleka TZCameroon nae KENGE tuu...πππππ
Seconded!ShΓΉghuli imeisha! Senegal Bingwa Afcon2023
Kwamba Taifa Stars tucheze na Cameron?Cameroon kenge kwa senegal ila usijichanganye ukawapeleka TZ
Kuna goli la nne linanukia huko si watajinyonga kabisa hao waichukuao Senegal ππWatu wengi hawaipendi senegal ndicho nilichoonaπ€£π€£π€£π€£π€£πΈπ³πΈπ³πΈπ³πΈπ³
Eti?? Kisa senegal kamfunga ndio tujiweke sawa na cameroon, yaani nimemwambia ateme mate chini bora tukutane na wamakonde ila tusithubutu kukutana na cameroon tutarudi burundiKwamba Taifa Stars tucheze na Cameron?
Taifa Stars
Egypt ππ
Si tumeenda gawa point 3 kwa kundi letu. Kila mtu anajua ilo. Kocha kaamua kukichafua kupunguza aibu.Eti?? Kisa senegal kamfunga ndio tujiweke sawa na cameroon, yaani nimemwambia ateme mate chini bora tukutane na wamakonde ila tusithubutu kukutana na cameroon tutarudi burundi
Wewe unachekesha sanaTaifa Stars
sema huyu kocha ana akili, kaamua kumtupia aibu mgunda π€£π€£π€£na mgunda bila kulijua hilo kaingia mkengeπ€£π€£ bora utimuliwe kuliko aibu inayofataSi tumeenda gawa point 3 kwa kundi letu. Kila mtu anajua ilo. Kocha kaamua kukichafua kupunguza aibu.
Mkuu watu wengi senegal hawaipendi tangu mpira unaanza nimeweka bendera huko za senegalKuna goli la nne linanukia huko si watajinyonga kabisa hao waichukuao Senegal ππ
Cape Verde!