Hii ni mechi muhimu na ngumu kwa Burkinabe lazima waweke kikosi chenyeweKwanini Aziz Ki hayupo kwenye kikosi hadi kwenye sub hayupo?
Google ilinidanganya, nimeenda kwenye ukurasa rasmi wa Burkina nimeona yupo.Hii ni mechi muhimu na ngumu kwa Burkinabe lazima waweke kikosi chenyewe
Aziz Ki yupo sub
Wanafeli sana, makosa mengiMabeki wa Bukina watawacost.
Leo wamekamatwa asee naona walivyobanwa mbavuMpira wa Burkina Faso hovyo sana.
Wawaingize Ki na TraoreLeo wamekamatwa asee naona walivyobanwa mbavu
Kabisa juzi walichangamka walauWawaingize Ki na Traore
Bado bilabila huku Bukinafaso wakizidiwaNgapi ngapi huko ๐ huku nilipo kizimkazi wamekata umeme
ImoooooOffside ๐๐๐๐๐๐