Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
-
- #2,781
Zinaongeza utataHizi v.A.R zeru sizielrwi
Ndoo nzito sanaChuma kali kuliko ya Manne jana.
mauritania vs angolaMechi za saa mbili ni timu gani wakuu
Jamaa mjuaji sana weweHii ni mechi muhimu na ngumu kwa Burkinabe lazima waweke kikosi chenyewe
Aziz Ki yupo sub
Sasa hapo ujuaji upo wapi na nilimjibu aliyeuliza kwanini Ki leo hajaanzaJamaa mjuaji sana wewe
Acha husda wewe mtoto wa kitangaSasa hapo ujuaji upo wapi na nilimjibu aliyeuliza kwanini Ki leo hajaanza
Au wewe unaona kucheza na Muritania ni sawa na kucheza na Algeria?