2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

Hauhofii mchezaji muhimu wa Yanga kuja kupata majeraha? Binafsi naona wasiwe wanapangwa ili kupunguza uwezekanao wa kupata majeraha. Yanga inawahitaji wachezaji wake muhimu kwenye ligi kuu na klabu bingwa
Naunga mkono hoja
 
Naendelea kusisitiza tuwekeze kwemye kuinua vipaji na kukuza na kuondoa siasa michezoni Kuna namna wenzetu wanacheza hata wakipoteza unaona kuna kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…