Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Hata Mimi naskia Raha sanaMaarabu yafungwe tu.
Nafurahi kuona timu za kiarabu zinafungwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata Mimi naskia Raha sanaMaarabu yafungwe tu.
Nafurahi kuona timu za kiarabu zinafungwa
Duh wewe jamaa hata aibu huoni? Hiyo offside ulionea wapi wakati hadi VAR ikatumika na ikachorwa mstari na ikaonekana hakukuwa na offside.
Maarabu yafungwe tu.
Nafurahi kuona timu za kiarabu zinafungwa
Acha ubaguzi yahudi mweusiSafi sana pigaaaa waarabu haoooo
Kwahiyo ule mstari ulikuwa umechorwa umeona umepinda? Sema mpira hujui usizingizie VARVar pia ina mapungufu, bukina wanabebwa
Bado haujasema mpaka useme mwarabu wa buza weweAcha ubaguzi yahudi mweusi
Mwarabu wa buza matokeo yamemchanganyaKwahiyo ule mstari ulikuwa umechorwa umeona umepinda? Sema mpira hujui usizingizie VAR
Hauhofii mchezaji muhimu wa Yanga kuja kupata majeraha? Binafsi naona wasiwe wanapangwa ili kupunguza uwezekanao wa kupata majeraha. Yanga inawahitaji wachezaji wake muhimu kwenye ligi kuu na klabu bingwaSafi sanaaaaa [emoji1433][emoji1433]
Ki aingie sasa jamani
Wanabebwaje na VAR ipo? Au we unaangaliaje mpira?Var pia ina mapungufu, bukina wanabebwa
Naunga mkono hojaHauhofii mchezaji muhimu wa Yanga kuja kupata majeraha? Binafsi naona wasiwe wanapangwa ili kupunguza uwezekanao wa kupata majeraha. Yanga inawahitaji wachezaji wake muhimu kwenye ligi kuu na klabu bingwa
Dakika ya ngapi hukoAsante Burkina Fao
Duh dakika zimabekia ngapi gemu iisheDah, huu msako wa Algeria sio poa
🤣😁😂😂Mzee wa siku Slimani ... ameitwa kutoka ustaafuni lakini bado haijasaidia
Bado haujasema mpaka useme mwarabu wa buza wewe
Kila la heri kwaoDah, huu msako wa Algeria sio poa