Post mkuuNafikiria kua napost zile clip za magoli,
Vipi ni wazo zuri au tutavuruga uzi?
Ngoja nicheki source ya uhakika wa kila mechiPost mkuu
Nakushauri rudi angola🤣🤣Leo nipo na Mauritania!!
Amna kitu kama taarabu tuHizi mechi za leo ni energy tupu !!
Kama mchovu unaomba kutolewa .
Una Wivu wa kike, au wewe ni mwanamke?Amna kitu kama taarabu tu
Kama Gilberto kashindwa kuwapa goal la pili msahau kutoboa hii match angolaNakushauri rudi angola🤣🤣