2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

Alipotelea wapi yule bwana mdogo?

Sir Alex alikuwa hapendi kabisa wachezaji wanaotoka africa kwasababu ya mashindano km haya ya katikati ya msimu

Ila kwa manucho ili bidi atengue msimamo wake
Manucho kipindi anakuja united palikua pamoto kweli kweli maana ndio kipindi Cristiano Ronaldo,Rooney,Carlos Tevez ,Macheda ,danny welbeck,Luis saha magari yalikua yamewaka kweli kweli kwahyo nafasi yake ilikua finyu kweli
 
Looh kweli nyakati nzuri hazidumu

Ila nikimuangali dogo Kobbie maino namfananisha na paul schooles
Manucho kipindi anakuja united palikua pamoto kweli kweli maana ndio kipindi Cristiano Ronaldo,Rooney,Carlos Tevez ,Macheda ,danny welbeck,Luis saha magari yalikua yamewaka kweli kweli kwahyo nafasi yake ilikua finyu kweli
 
Mauritania ni nchi ambayo sijawahi kuielewa wana tamaduni gani africa magharibi hawafiti wala africa ya kati hawaiingii

Hii nchi ipo kama africa kaskazini/waarabu
 
Back
Top Bottom