Being_neutral
JF-Expert Member
- Jan 9, 2024
- 376
- 727
Hapana mkuu, wewe je ni mwanamke?Una Wivu wa kike, au wewe ni mwanamke?
Sema upigwe ban?Kama Gilberto kashindwa kuwapa goal la pili msahau kutoboa hii match angola
Yaani mods wanipige ban kama Angola akishinda match ya leo?Sema upigwe ban?
ngoja 45 zinazokuja
Anashinda ndio, sema upigwe ban?Yaani mods wanipige ban kama Angola akishinda match ya leo?
Basi achia wivu wanawake. Be a manHapana mkuu, wewe je ni mwanamke?
Wivu unao wewe, halafu ujajibu swali nilokuulza.Basi achia wivu wanawake. Be a man
Siweki dau la kupigwa banAnashinda ndio, sema upigwe ban?
Mechi ya senegal na cameroon ulipoteza na ya leo unapoteza.Siweki dau la kupigwa ban
Nawaombea Mauritania washinde leo....
Kaa kwa kutulia!Mechi ya senegal na cameroon ulipoteza na ya leo unapoteza.
Nimekuambia hamia upande wa pili.
labda kwa wachezaji wa kibongo ulaya wapo wanyoa viduku wengi tu na wanaubonda vizuri kabisa mfano.Vidal.bonge moja la kiungo na mkiduku juu njoo kwa Nainggolan alikua anacheza As Roma.naye alikua kiungo kweli kweli njoo kwa Vin junior labda wew useme.unachuki na wanyoa vidukuWanyoa viduku, mapank, wafuga Rasta na wapaka bleach huwa hawana akili ya kucheza Mpira vizuri,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa wachezaji gan?Hivi Taifa stars wanaweza kukimbiza mwanzo mwisho Kama hii game ya burkinabe v Algeria ?
Una Wivu wa kike, au wewe ni mwanamke?
sasa wew kocha ako. mgunda beki yako mwanyeto unategemea ukashindane Na naniYaani sisi hata hawa Mauritania wanatushinda kiwango.
Mim napenda washinde Angola kwa Heshima ya Alberti Manucho maana kawahai kukipiga pale old traffordVamos Angola
Mim napenda washinde Angola kwa Heshima ya Alberti Manucho maana kawahai kukipiga pale old trafford
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kaa kwa kutulia!
yaaaanii! Furahi ila usiniguse🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣