Being_neutral
JF-Expert Member
- Jan 9, 2024
- 376
- 727
Hii mechi niliichungulia tayari 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣yaaaanii! Furahi ila usiniguse
Manucho kipindi anakuja united palikua pamoto kweli kweli maana ndio kipindi Cristiano Ronaldo,Rooney,Carlos Tevez ,Macheda ,danny welbeck,Luis saha magari yalikua yamewaka kweli kweli kwahyo nafasi yake ilikua finyu kweliAlipotelea wapi yule bwana mdogo?
Sir Alex alikuwa hapendi kabisa wachezaji wanaotoka africa kwasababu ya mashindano km haya ya katikati ya msimu
Ila kwa manucho ili bidi atengue msimamo wake
Angola ni Taifa la soka kama waliweza kucheza FIFA word cup 2006 pale Germany hawez sumbuliwa na hawa Kenge wadogoHawa Angola sio haba wako vzr.. Wanashambulia kama nyuki.
Ngoja niwaangalie wakiingia uwanjani kuna vigezo vyangu nikiviona tu nitakupa mrejesho uendelee kuwepo au urudi upande wa pili🤣🤣Baadae nipo na Mali
Ushauri sitaki
utu tu toto tunataka kusumbua watu wazimaPiga keleleeeee!!!!![emoji1][emoji23]
Match ya leo itakua na magoal mengi sanaaautu tu toto tunataka kusumbua watu wazima
Manucho kipindi anakuja united palikua pamoto kweli kweli maana ndio kipindi Cristiano Ronaldo,Rooney,Carlos Tevez ,Macheda ,danny welbeck,Luis saha magari yalikua yamewaka kweli kweli kwahyo nafasi yake ilikua finyu kweli
kijana anajitaidi sana Ten hag atampa mda wa kutoshaLooh kweli nyakati nzuri hazidumu
Ila nikimuangali dogo Kobbie maino namfananisha na paul schooles
mauritana ni wabishi Sana ili Goli wanaweza kuchomoa wakituliaMatch ya leo itakua na magoal mengi sanaaa
Sasa hii 3 imetoka wapiKama Gilberto kashindwa kuwapa goal la pili msahau kutoboa hii match angola