Nimeuliza, Yanga watamweza tena Diarra?Hii mechi ilikuwa ya viwango. Mali wazuri sana.
Anaweza kumlamba Souz ujueTiyari kwan mkuu?
Takwimu za karibuni zinaonyesha Tunisia ni kibonde wa Mali.Tunisia asante kushiriki.
Nafurahi kuona muarabu wa kwanza anadondoka
Angola leo wamefanya makubwaaaTimu za kusini mwa jangwa la Sahara zimeboreka sana.
Ile footwork kila club sasa inaimezea mate.Nimeuliza, Yanga watamweza tena Diarra?
Nilishauri wangecheza saa 5 usiku ili aibu itukute tushalala, unajua mkuu aibu ya kuwepo live na ukikuta aibu ambayo ishatokea kdog ina unafuuBaadae kidogo Taifa Stars itashuka dimbani
Ndicho hicho nachofikir,Anaweza kumlamba Souz ujue
Si mchezo huyu jamaa anacheza mpira very professionalIle footwork kila club sasa inaimezea mate.
Huyo ndio zake kufunga ni msibaAisee, jamaa kakosa goli wazi wazi hapo
Ndio hapo sasa.Hawa watangazaji wa tbc wanadai tuombee stars,, tunaombea wana pepo yaani kiwango kibovu cha timu sambamba na maandalizi hafifu tuombee π€£π€£
πππNilishauri wangecheza saa 5 usiku ili aibu itukute tushalala, unajua mkuu aibu ya kuwepo live na ukikuta aibu ambayo ishatokea kdog ina unafuu
πππKuna Warembo wa Tunisia naona wametupia Uzi wa Mnyama Simba.
[emoji23][emoji23]busha tenaNi vigumu kuelewa
Pale Caf alikuwepo dicteta issa hayatou amekalia kiti karibu miaka 30 akiungwa mkono na mafarao na nchi za kaskazini na africa magharibi kwa uchache
Yule Mzee amechangia kulidumaza soka la Afrca
Alikuwa dikteta alafu ni mchawi ukitaka kugombea nafasi yake anakutupia busha
Mpaka leo sijawahi kuelewa ni vipi motsepe aliweza kushinda yule dikteta
DrooNiliwahi kulala! Matokeo vipi
Mali kashinda?
Uhakika maana Γ±i wachovuAnaweza kumlamba Souz ujue