pandagichiza
JF-Expert Member
- Jul 9, 2013
- 5,248
- 3,663
Ni nchi chache tu zenye academy za kueleweka kama asec ya Ivory Coast. Wachezaji wengine wanatokea kwenye mpira wa mchangani kwenye ligi za ndondo moja kwa moja UlayaVipaji vipo ila hatuna utaratibu wa kuviweka katka misingi ya baadae, tunachotka ni matokeo leo leo.
Mfano: Angalia mechi moja wapo ya mataifa ya Africa magharibu, utasikia mchezaji anatokea academy flani kila mchezaji.