Mkuu hivi Tanzania tupo mil 60 Tunakosa wachezaji 30 ambao wanabidii + kipajiMpira siyo kitabu
Mpira ni kipaji + bidii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hivi Tanzania tupo mil 60 Tunakosa wachezaji 30 ambao wanabidii + kipajiMpira siyo kitabu
Mpira ni kipaji + bidii
Tanzania hatuna vipaji vya mpiraMkuu hivi Tanzania tupo mil 60 Tunakosa wachezaji 30 ambao wanabidii + kipaji
Tunisia amekuwa mnyonge
Mali wanapiga boli mzee japo nilikua tunisiaHawa Mali 🇲🇱 wako vizuri
Vipaji vipo ila hatuna utaratibu wa kuviweka katka misingi ya baadae, tunachotka ni matokeo leo leo.Tanzania hatuna vipaji vya mpira
Wapenzi wa taifa stars leo sii tunapata ata kagoli kamoja au mnasemaje
1-1 ila bado tupo kileleni mwa kundi, mechi ijayo inshallahNiliwahi kulala! Matokeo vipi
Mali kashinda?
Ngoja niweke ka laki kangu nipate hela ya supu keshoZambia tunamchapa vizuri sana,
Jana nililala ngoma iliishaje?Mali wanapiga boli mzee japo nilikua tunisia
Analipa kisasiMali ana hasira na jamaa kuwaziua kwenda word cup
1-1 mkuu, mali anaongoza groupJana nililala ngoma iliishaje?
Ngoja niweke ka laki kangu nipate hela ya supu kesho
Sawa mkuu1-1 mkuu, mali anaongoza group
Njoo uikalie utapata majibu kwa vitendoWivu unao wewe, halafu ujajibu swali nilokuulza.
Kumbe wewe ni shoga? Nilikuwa sijui. Sawa shoga boban sunzuNjoo uikalie utapata majibu kwa vitendo
Njoo nikupige mashine ulete habari vizuri kama mimi ni shogaKumbe wewe ni shoga? Nilikuwa sijui. Sawa shoga boban sunzu
Sawa shoga, sasa wewe unataka kupga mashine mwanaume mwenzako, tafuta shoga mwenzako mimi sio.Njoo nikupige mashine ulete habari vizuri kama mimi ni shoga